Duration 3:32

Wabunge Kuunga mkono sheria ya viwango sawa ya malezi ya watoto

47 watched
0
0
Published 19 Aug 2021

Mswada wa sheria hiyo mpya ya watoto ulipitishwa na kamati ya bunge kuhusu maswala ya kazi na jamii, na unawapa wazazi wote wawili jukumu sawa la kuwalea watoto wao, ikiwemo walio nje ya ndoa . #KutokaMashinani

Category

Show more

Comments - 0