Duration 1:42

Mwanamme mmoja adaiwa kuuliwa na polisi Kayole

9 watched
0
0
Published 19 Aug 2021

Wakazi wa mtaa wa Kayole walighadhabishwa na mauaji ya Mwanamme mmoja wa umri wa makamo baada ya kudaiwa kuuwawa Na maafisa wa polisi waliokuwa wakitekeleza sheria za Korona #TaarifaKuu

Category

Show more

Comments - 0