Duration 8:57

KUKOSA HEDHI AU KUBADILIKA KWA MZUNGUKO INAWEZA KUWA TATIZO KUBWA

35 431 watched
0
246
Published 17 Apr 2021

Join this channel to get access to perks: /channel/UCDCklPHvjKcIm34pmdClQhg/join -- #MAUMIVU_SERIES #NyukiTV MAUMIVU SERIES NI SERIES INAYUZUNGUMZIA MAHUSIANO YA MAPENZI Ni kweli kuna wakati unaweza jiona mjinga kutokana na makosa au maamuzi yako, kuna wakati pia unajua unachofanya ni makosa lakini unafanya hivyo hivyo lakini matokeo mbeleni yanakuja kukuumiza. Ni wengi leo hii wanataka kufanya maamuzi lakini bado wapo njia panda, yawezekana mpendwa anayezungumziwa hapa ni wewe na unaumiza kichwa kweli kweli bila majibu yoyote. Ndio, ukikosea utayakaribisha maumivu na majuto tele. Fuatilia Series hii ya MAUMIVU itakupa Njia ya Kuikaribisha FURAHA katika MAISHA YAKO. WASILIANA NASI CALL/WhatsAPP +255 768 654 526 E-mail nyukitv@gmail.com Instagram @nyuki_tv Facebook Nyuki TV Twitter @nyuki_tv

Category

Show more

Comments - 51
  • @
    @user-fk3gl9lx3f3 months ago Asante dada kwa somozuri naomba unisaidie mimi nilikua na tumia kujit nimekutoa lakin sijapata hedhi mwezi umepita na sina ujsuzito. 1
  • @
    @SalomeCharles-lk5xh5 months ago Samahni dada mm napata hedhi isiyo eleweka yani nikama damu imezima inatoka kama imechunywa so dam halisi kabisa naomba nisaidie shida nn. 3
  • @
    @ruthchiluba81762 years ago Asante sister nimejifunza nimekosa hedhi nikipima niangalie vipimo vinanionyesha sina mimba mawazo tere. 1
  • @
    @baranyikwakassongo78024 months ago Dada naomba nisaidie mimi bahada yakutolewa bikra mzunguko wangu umehalibika sana napia uwanapata maumivu makli sana kabra sijaingia kwenye hedhi.
  • @
    @paulinaalfred71332 years ago Nisaidie mi mzunguko wangu unachanganya nitumie nini ili ukae sawa. 14
  • @
    @GetrudaDaniel-xl4ri5 months ago Mi mwezi huu sijapata hedhi dada na mgongo unauma sana msaada tafadhali.
  • @
    @ruumahmud80992 years ago Tunaomba tiba ya hilo tatizo bs doctor tafadhal. 5
  • @
    @bintimasharubu9 months ago Hi mimi uwa napata hedhi hzi cku za mwanzo lakn nmepitisha hyo tarehe je naeza kupata.
  • @
    @GraceGodson-fk3tu3 months ago Dada me natumia kingaa, saiv nimerukaa mwezi sijaonaa hedhi ad unaenda mwezi wa pili.
  • @
    @margretmuasya67627 months ago Mm shidangu cku zigine inatoka ikiwa kama imegada hio inaeza leta shida.
  • @
    @wilietyaudax76922 years ago Asante sana dada kupitisha mwez mmoja alafu ukatumie sababu inakua nini. 2
  • @
    @EsterLinus-dm7iu7 months ago Mimi sijawahi kos hedhi ila huwa nazidisha siku au kupunguza siku tatizo nini. 2
  • @
    @tonnybreezy65794 months ago Dada samahan me mwanamke wangu anapat hedhi ndan ya siku tatu basi je ni sahihi?
  • @
    @user-gx9om6mn8l8 months ago Asante dada kwasomo kako zuri tumejifunza mengi ila pia nilikuwa naomba unisaidie no yako mana ninaswali lakiutaalam zaidi nikiwa nataka unisaidie.
  • @
    @selestinamwijage26332 years ago Kwan kupoteza hedhi iasababishwa na msongamano wa mawazo nifanye nn ikiwa ninepoteza hedhi ndan ya miez mitatu na je siku zangu zinaweza kurud au itakuwangumu. 8
  • @
    @esterotunga6 months ago Aki mm sipati sai ni mwaka moja sasa nataman mtoto nifanya aje mm. 2
  • @
    @user-oc6jq3yz1w5 months ago Nisaidie natafuta mtoto kwa muda mrefu hedhi yangu aieleweki inavurugika na inafanana kama blauni na tumbo linauma sana na inatoka ndogo sana.
  • @
    @SaudaUwimana-tv4yr7 months ago Dada mimi nimepata mimba mwezi mmoja ikawa imeharibika, apo kabla nilikuw namzuguko mzuri, ila mimba ilipo haribika tu bas ninamyezi mitatu yani napata hedhi isiyo eleweka yani tareh zinabadilik sana sijuw nini shida.
  • @
    @user-hd8rt7hz7h5 months ago Naomba msaada dada ni miezi 3 sasa sijapata hedhi nitumie nn -
  • @
    @mariamabdallah73882 years ago Dada naomba unisaidie mimi ninachanga moto kama izo naomba unipigie. 2
  • @
    @FridahJohn-fx6tn8 months ago Mimi natumiya kijiti huwa edhi sipat nifanya je jamn huwa napata maumivu ya tumbo mgongo na kiuno. 1
  • @
    @doricekimaro19892 years ago Muwe mnasikiliza maelezo dawa ashasema mpigie hzo namba apo chini sasa msaada gn tena mnataka woii wabongoi. 1
  • @
    @minamohammedabdalla20942 years ago Doc me mzunguko wang uko sawa lakin hedhi napata siku tatu jee nna tatizo. 3
  • @
    @Styliste2458 months ago Naomb unisaidie mie kupata hedhi inakuwa shida sana. 1
  • @
    @user-ik2zm2kc1q8 months ago Dada angu nisaidie mm na miaka minne cpati vku zangu na nikipata kwa, mwaka mara mbili.
  • @
    @NembrisSipitey-er5tb10 months ago Asante sana dr mimi natakiwa nione siku kuanzia tare 20 lakin sasa leo ni tare 27 nifanyaje.
  • @
    @SubiraAbdul-ik3gslast year Dada naomba unisaidie sasa iv nina mwaka moja na nusu soon edhi yangu.
  • @
    @rahmaali53662 years ago Dada ang mm nilijiunga na uzaz wampango ya njia kijit toka nilipo kitoa hu nimwez wa 6 sas lakini hedhe yangu napta kwa mvurugiko ka mwez ulopita nimepata . ...Expand 1
  • @
    @user-ji8wq1mg4j10 months ago Nilimaliza janah lkn bdoo naumwa kanakwamba ntapata hedhi tenah yasababiswa na nn.
  • @
    @paulomabula69608 months ago Mke wangu hajaata hedhi ndan ya miezi 3 sasa tufanyeje nae anamiaka 34.
  • @
    @zerishtz1110last year Sasa hamjaweka mawasiliano yunawapataje sasa.
  • @
    @dorcasiswan8266last year Aki mm niko na dalili za mimba lakini nikipima hakuna chuchu zimejaa na tumbo kua kubwa na ni gumu. 1
  • @
    @Teddy-jl5mz11 months ago Dada mimi niliweka njiti za miaka mitano 2019 baada tu ya kujifungua sikupata edhi miaka mitatu yan tangu nijifungue sikuona edhi nimekuja ona mwezi wa 2 2023 na ilivo anza ndo adi sasa kila siku jmn sielew nifanyeje.
  • @
    @deboracharles18482 years ago Samahani dada naomba msaada hedhiyangu ya mwisho nilipata mwezi wa 02 tarehe moja na hii ni baada yakutumia femicare kwaajili ya uti baada ya hapo sijaonaa tena sikuzangu sielewi ni femicare ndio zimebadiloaja au nini. 1
  • @
    @neemapeter-vl7le7 months ago Mwenzenu sijapata hedhi unaenda mwaka sasa nifanyeje. 2
  • @
    @joharisaid439411 months ago Naomba msaada wa kupata dawa mzunguko hauko sawa.
  • @
    @SifaeliMangara10 months ago Sister naomba unisaidie nina shida nasikia dalili za kuona hedhi lakin sion tumbo linauma kwenye kitovu plz nisaidia nini shida.
  • @
    @nyukitv7 months ago Kwa wote wanaohitaji mawasiliano yangu namba ni hii +255629695470 dr mwanalious.
  • @
    @user-fs4tm8qt9i8 months ago M mzunguko wangu unabadilika kila mwezi nifanyaje ili nisaidiwe.
  • @
    @user-dm4hu2xd2x3 months ago Naomba nisaidie dada nilikua nachoma sindano za uzazi wampango sasa nimeacha ninamiezi mitatu sijapata siku zang nifanyaje ili nipate siku zangu.