Duration 1:2

Kilimo na matumaini kwa vijana

243 watched
0
3
Published 5 Aug 2020

Kutokana na changamoto za mianya ya ajira kwa vijani, kampuni inayojihusisha na usambazaji wa vifaa vya umwagiliaji wa vitalu nyumba (RIWADE) imeamua kutoa mafunzo kwa vijana zaidi ya mia nne pamoja na kuwapa mikopo kwa watakaotimiza vigezo ikiwa ni lengo la kuondoa wimbi wa tatizo la kukosekana ajira kwa vijana wengi nchini. Mafunzo hayo ya wiki moja yatafanyika eneo la Mlali wilayani Mvomero mkoani Morogoro. Meneja wa Kampuni ya RIWADE Ayubu Massau pamoja na mshiriki wa mafunzo hayo Shaban Hamadi wanaelezea namna watakavyofaidika na mafunzo hayo. #Kilimo #mafuzo #ajira #vijana #Morogoro #Pwani Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 0