Duration 3:30

TASWIRA KIMATAIFA : Shule zafungwa nchini Uganda kutokana na kuongezeka kwa maambukizi ya korona

46 watched
0
1
Published 9 Jun 2021

Shule Na Taasisi Za Elimu Zimefungwa Kote Nchini Uganda Baada Ya Rais Yoweri Museveni Wa Nchi Hiyo Kupiga Marufuku Mikusanyiko Yote Kwa Kipindi Cha Siku 42 Kutokana Na Ongezeko Kubwa La Maambukizi Ya Virusi Vya Korona. Huko Israel, Kura Ya Imani Bungeni Kwa Serikali Mpya Ya Israeli, Ambayo Inaweza Kumwondoa Madarakani Waziri Mkuu Aliyeko Madarakani Benjamin Netanyahu, Itafanyika Ifikapo Juni 14. Tafadhali SUBSCRIBE kupata uhondo zaidi #Taswira_Kimataifa #YoweriMuseveni #BenjaminNetanyahu

Category

Show more

Comments - 0