Duration 52:58

Ifahamu Historia ya Marehemu Cpwaa kwenye mahojiano haya ya mwisho

23 157 watched
0
266
Published 17 Jan 2021

Ifahamu kwa undani historia ya rapper Ilunga Khalifa aka Cpwaa kwenye mahojiano haya ya mwisho kufanya naye kupitia kipindi cha Chill na Sky. Rapper huyo amefariki dunia Jumapili ya January 17, 2021

Category

Show more

Tags

Comments - 92
  • @
    @amazing_grace53923 years ago He was so smarthis soul rest in peace.
  • @
    @maxmaizer46313 years ago Daa nimeingia ndn kulia achen. Moyo umeumia sana cpwaa jembe langu umetangulia nyimbo zako ntabaki nazo daima nass tunafata uko ulipo tangulia. 6
  • @
    @omaryomary87503 years ago C pwaa lala salama broo allah akupunguzie adhabu ya kabri ameen. 3
  • @
    @abuuthan87163 years ago Mungu akusamehe makosa yako akuruzuku pepo jirani yangu wa muda wote magomeni! 1
  • @
    @ivankivinge29873 years ago Rest in peace bro. Umeacha pengo kubwa sana moyoni mwangu. You lived to entertain us. 7
  • @
    @veronicadaniel11223 years ago Dah mungu amwangazie mwanga wa milele amina.
  • @
    @kasongosaid25774 months ago Sky interviw zako zinakuwaga poa sana kaka.
  • @
    @jamesngimba41883 years ago Aha r i p irunga kipndi tuko magomeni mikumi kwa mzee pinda so sad mshikaji. 4
  • @
    @ashooraashoora11803 years ago Innalilah wainnaillah rajiuun mwenyez mungu ampe kauli thabiti yarabiy. 1
  • @
    @mename60203 years ago Innalillah waina illah rajihuon. Allah amswameh mazambi yake na amrehemu. 2
  • @
    @robbemanase90513 years ago Dah ina maana his mom kapoteza her only child, its really sad r. I. P. Illu. 5
  • @
    @latriciah01augustino673 years ago Innah lilah wahnailah rajoun. Allah ampe kauli thabiti. 2
  • @
    @peterpaulinuce43163 years ago Pumzika kwa aman brother, mbele yako nyuma ye2. 1
  • @
    @mwatumudogo39483 years ago Inna lilahi waina ileih rajiun allah ampokee kwa mkono wake wa kulia amsamehe dhambi zake za siri na dhahiri inshallah amueke pema palipo na wema amin. 5
  • @
    @mutahangarwasamwel46433 years ago Ezi za uhai ulikua atariii mungu akuleheem br.
  • @
    @samirnaty87743 years ago Bonge la interview bro mungu ampe safar njema kauli thabit.
  • @
    @bish_daddiyao3 years ago Eastafrica industry will miss you ninjah mola akwondolee mchanga wa macho.
  • @
    @mariamkassim99253 years ago Inna lillahi wainna ilayhi raajiun so sad. 4
  • @
    @khalekichambo11313 years ago Inna lillahi wa inna ilaiyhi rajiun, laiti tungelijua tarehe ya kifo tusinge panga mambo ya huko mbeleni. Mungu amsamehe makosa yake na alipe mwanga kaburi lake. 2
  • @
    @khadijanjama87213 years ago Inna lillahi wainna ilayhi raajiun poleni kwa msiba.
  • @
    @azzamahamdu70393 years ago Innahlilah waina ilah rajiun maskn kafa lini hyu kaka.
  • @
    @victormwansasu70053 years ago R. I. P. Dah. Ngoma la action lilikuwa poa sanaa. 2
  • @
    @youngchua6973 years ago Mauti ni mlango kila mmoja atapita katika mlango huo kwa iyo tujipange kuikabili safari hioo. 17
  • @
    @franciskyombo42893 years ago Cpwaa kuna namna anachezeaga mic inatoa visauti mana nlimuona tamashani leaders clubhaijalishi upo au haupo.
  • @
    @claudialupimo76143 years ago Sikuwahi kukuona wala kukufahamu enzi za uhai wako. Ila nmeona interview na baadhi yawatu walikupost. Nimesikitika na mungu akupokee. Ni njia yetu sote.
  • @
    @aminaathuma31933 years ago R i p sjui ni kwann mnapenda mzik wakat uko vizur shulen. 2
  • @
    @abdurabmsuya72913 years ago Du haya maisha anamuombea mwenzake godzilla leo na yeye tunamuombe pumzika kwa aman cpwaa. 1
  • @
    @jiangjoseph43783 years ago Du alipanga aende kimamataifa du r. I. Cp.
  • @
    @shakilamasoud29833 years ago Maisha ni mafupi sana jamani, apumzike kwa amani. 2
  • @
    @joeboyhk8293 years ago Kwani uwa mna ficha interview alafu mna zitoa mtu akisha fariki? 4
  • @
    @hammylove12683 years ago Kwann huwa hampost wakiwa hai jmn? Nimeobserv ndio maan nmeongea coz hata marehem mzee jengua mkampost enterview yake baada yakufariki? 4
  • @
    @youngchua6973 years ago
    Mpemba wa Mwanzo kufika kwa Ali Samatta
  • @
    @loner_wolf3 years ago Wewe ilunga ni jina la kisukuma hilo. Mimi hata bila ww kusema nilishahisi utakuwa msukuma. Uliza ilunga ni jina la watu gn utaambiwa ni majina ya kisukuma. 2