Chid Benzi ame free style kwa dakika 10 za maangamizi ndani ya Planet Bongo ya East Africa Radio bila kuchoka na kutoa mistari kichwani hapo hapo.
Category
Show more
Comments - 690
@
@dangotesam98457 years agoDah! Bila kukaka kimya wala kuchanganywa na beat aisee! I' m happy to see that chuma is truly back, sober n stronger! You really mean alot to east africa. Keep it up mtoto wa ilala. 13
@
@qurayshsued28436 years agoKila cku lazima nipitie hii video kama unamkubali chid gonga like tukae sawa. 211
@
@vahyregan84245 years agoBig up chid b' ooh much love to you. You' re the best. 18
@
@hamadtv294last yearKama yupo anaesikiliza hizi freestyle lines 2023, basi nasikiliza naee. 29
@
@juniotozman29764 months ago2024 and still one of the best freestyles so far. 1
@
@frankkimani6 years agoThats real free style. Keep up king kong! 15
@
@fedrickwilliam17217 years agoChid benz is a best freestyle alive in tz and east africa as well, type like if you agree. 31
@
@user-mi2bu6vx1u7 months agoFreestyle kwa dakika 10 IS THE REALLY G.O.A.T 1
@
@amosnasiali72066 years agoHii ni chumakali aiseh. Jamaani after 10mins. +254 tunamtambua chidi. Kama imefanya ucheke gonga like apa. 72
@
@Mbugokilonda7 years agoMimi nasema hana mpinzani huyu jamaa kwenye frestail, nani anabisha; nakama unamkataa juwa wewe ni mchawi tu! 48
@
@sedekianjalle34115 years agoHuyu ndo mkali kama unamkubali gonga like! 2
@
@simonmwangi10575 years agoNiko hapa April 19 nimekuja kuwakilisha +254 tunakubali sana chid Benz king wa rap true freestyle 41
@
@goodluckmrosso4866 years agoMungu msimamie huyu kiumbe wako aitendee haki talent yake. 4
@
@donprince97525 years agoKaka sio mpaka ufe ndo wakupe cheo ngwair(rip)we ni mkali wa freesyle kuliko wote waliotokea. 23
@
@davidndomba10687 years agoHahahahhahahaa chid bhanawaendelee kuponda ila ukwel haukwepekisana. 47
@
@tenten93684 months agoKama yupo anaesikiliza hizi freestyles 2024 basi nasikiliza nae.
@
@justineemanuel127last yearNi 12/3/2023. Still on fire ni kipaji kitupu. Ana enjoy anachofanya. 2
@
@michaelassenga92407 years agoHii ndio freestyle bhana, mnaomchukia mkajinyongee. 142
@
@nsajigwaelly48437 years agoKing nimembatiza kuanzia Leo Chidy Benz ndio king baada ya kiti hicho kuondoka na Marehemu MaGwAir Ameamua kumrudishia Mchizi Wake Poa % ..45
@
@dohabisophicateqatar17427 years agoChidi mzuri kbsa lkn uraibu maskini mungu amtoe kwenye hilo janga. Una weza mzee mzima. 13
@
@mwafrikabarz45077 years agoUwiii frestler technique was back again gonga kama unamkubal huyu techiquer. 86
@
@richmontanna79347 years agoKenya we blv chuma is da best kwa freestyle salute. 24
@
@issaramadhan-bd2sulast yearJamaa ni moto hakuna mtu anamueza tz big up man. 2
@
@mrchefamour19875 years agoKama bado yupo anaeskiliza hii free style ndan ya 2019 niko pamoj nae. 34
@
@benmsonganzila80697 years agoLinapokuja suala la freestyle, chidy benz hana mpinzani kwenye hilo. 128
@
@johtv90527 years agoUuuu n mwambaa kweli dar es salaam bila chid benz amna ktuuu. 7
@
@ibneidmood42633 months agoKama yupo anayesikiliza free style 2024 basi tupo wote haap.
@
@sharifibrahimu84044 years agoThe best freestly. Dah jamaa anajua anajuaa. 2
@
@issaramadhan-bd2sulast yearYaani beat zote chindi ameua mbya sana uko juu man. 1
@
@faugomstaarabu98337 years agoHuyo ndio mkali wa freestyle hii nchi akuna kama hyu jamaa. 110
@
@kingpablojr81755 years ago26 dec 2019 still kitu ni. Nani uko anaangalia 10 za maangamizi agonge like! 4
@
@samwelsebastian5 years agoFreestyle machine!! Hiki kichwa kinabalaa dadeki Kuna muda inabidi ukweli uwekwe wazi 5
@
@gungmic42187 years agoChid upo vizur mleten rayvan tumsikie na yeye japo anaimba ckuiz. 18
@
@kibwamoko22077 years agoHaya ndo mambo tunayoyataka katika freestyle, hatutak mashair ya kuandika. Umetixha brother chid. 9
@
@arsenemuhindotv41757 years agoOh my god kumbe ukonamnahivi nimekuelewa chid b. Leo nimekukubali mkali wangu. 2
@
@Memes_Swahili7 years agoMy best freestyler ever, uwezo wa kufikiri umepungua kidogo ila umeua sana mzee. 5
@
@mikentoga4 months agoOyooo mwamba sana naelewa naelewaa salute kwako.
@
@milithonabedy75686 months agoAkuna rapa atakae kuja vunja hii rekod. Kwanza zimepigwa bit nying, kila biti inamistari yake. Bila kuchoka bit inatendewa haki no kurudia mistar. Mpaka jingo imepewa mistar. Kam umeelewa gonga like.
@
@josephkingumbi38277 years agoChid benzi ameshindikana yan ni non stop. Hahahahah wangeongeza dakika ziwe 15 ili tuendelee kupata radha and that is what we call it freestyle nasio kurudio kuimba nyimbo zisizokuwa namaana. 52
@
@emmanueldastan91573 years agoDaah mm ni wagospel lakin tangu 2019 mpaka sasa nachekaga tu kwa hii freestyle. 1
@
@samsonmgelwa15796 years agoRespect to yah broo hii ndio maana halisi ya kipaji. 3
@
@rosemangale81776 years agoNakukubali sana na freestyle zako chuma chidbenz. 3
@
@husseinkaoneka58344 years agoHyu jamaa kichwa sema tu cjui anayumba wap asee, kila cku lazma niiangalie nikiwa ofisini, gonga like hapa kama unamkubari benz the chid.
@
@enockngendakuriyo67595 years agoI' m still watching this non stop 2019. 11
@
@blackflavour4555last yearDuuh king koong mkali wa kazi hizi 2023.
@
@samsonmasha78917 years agoLong live chidi benz number one rapper in bongo yes back in the game no one like this guy. 7
@
@geofreympwani4576 years agoNo one like u king kong ww ni nomaaa braza. 1
@
@aproluckas48435 years agoChid brother mistali yako nakubali kiujumla kazi yako naikubali sanaa chid.
@
@lundaboytz49123 years agoHii mbwa ina kipaji sana big up my brother.
@
@Hb_superboy5 years agoNamkubali sana chid wengine kwenye dakika kumi hua wanakuja wameandika verse kwenye sim big up chid benz. 1
@
@faridapatel88147 years agoKijana mwenye talent. Usirudie kaka wewe ni bro mwenye roho nzuri sana. 1
@
@norbertmassawe18197 years agoKama ngwair yan uko vzr bro dah wakuache mteja wangu. 1
@
@nkurunzizarichard78433 years ago2021 bado nasikiliza hiyi dudee kong nakubali sana chid.
@
@sudmdau84413 years agoDaa chid benzi umetisha sana mkuu ila bangi utaacha lini kaka mbavu zangu2. 1
@
@jrwizzy18836 years agoKwl huyu jamaa fundi ana zeeka na ufundii wakee dah ninomaas sanaa.
@
@geophreyjoseph87377 years agoChid benz king of the freestyle in dsm. 55
@
@nofatwamasha34752 years agoMbora rap rahisi tu, nadinda narinda natinga natimba naminya namimba, kuna sehemu kama vile mhubiriking kong. 1
@
@festontandu17477 years agoKiukweli huyu jamaa ni noma ana pumzi balaa ila ufalme wa freestyle tulishampa ngwair, chid upo vizuri tunakusapoti broo. 45
@
@ben_madelemo747 years agoAkuna kama chid tz nzimaa kwaa michano bado cjaona mwengnee. 2
@
@emmanuelbrassy4000last yearHili ni shetani la freestyle noma bro makwiro.
@
@mtokambali23207 years agoAlipofariki mkali albert mangwair niliumia ila baadae nilimtazama chid nakusema kwamba free style bado inaishi. Go chumaaa. 2
@
@jackspyro61153 years agoNani tena kamcheck chid 2021, baada ya miaka minne bado moto mkali.
@
@josephkamwezi90595 years agoUkimtoa gwiji mangwea namkubali sana chid.
@
@amosmwakapesa85406 years agoJama mkali mungu bariki huyu mtu amina.
@
@musicandfootballfans33687 years agoWapi diamond alete zake karanga mamae wameikataaa. 24
@
@tigerdavid57535 years agoKaka weye ni kisu kinye kamali sana. Akuna kama weye bongo nzima kwene kushana.
@
@BigirimanaF16 years agoRespect guys for your dakika kumi za maangamizi. 2
Related videos for Dakika 10 Za Maangamizi : Chid Benz | Planet Bongo:
ni kipaji kitupu. Ana enjoy anachofanya. 2
frestler technique was back again
gonga kama unamkubal huyu techiquer. 86
Hiki kichwa kinabalaa dadeki
Kuna muda inabidi ukweli uwekwe wazi
5
hii ndio maana halisi ya kipaji. 3
bado nasikiliza hiyi dudee kong nakubali sana chid.