Duration 8:30

RC HAPI : MEMBE ANAUMWA UGONJWA/ SITAKI UBUNGE NAHESHIMU NAFASI ALIYONIPA RAIS/ CHADEMA MWISHO 2020

89 279 watched
0
430
Published 15 Jul 2020

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Salum Hapi amezungumzia kilichosababisha awe mtu wa mwanzo kuanza kumshambulia aliyekua kada wa CCM, Benard Membe mwaka 2016, huku pia akizungumzia kuhusu suala la yeye kutajwa kutaka kuwania ubunge katika majimbo mbalimbali.

Category

Show more

Comments - 215