Duration 10:9

HOTUBA NZITO YA HUSSEIN MWINYI BAADA YA KUCHAGULIWA KUWA MGOMBEA URAIS ZANZIBAR

70 609 watched
0
312
Published 10 Jul 2020

Category

Show more

Comments - 147
  • @
    @janetndeanasiambene39754 years ago Well done dr mwinyi! God is great! Well done ccm! For a great choice! 1
  • @
    @felistermaximillian27934 years ago I knew it and i believed in you since day one, dr hussein mwinyi, you real deserve it.
  • @
    @abuuahmadabdul-rahman90254 years ago Allah ampe dukta hussein mwinyi tawfiki na afungulie milango ya kheri ya kila jema katika mikono yake. 6
  • @
    @mehboobkassam90314 years ago Hongera dr hussein mwinyi. Mwenyezi mungu akutangulie kwa rahema na neema zake. 5
  • @
    @ashamaggimba8764 years ago Hongera dr. Hussein mwinyi mungu akusimamie uwe mshindi wa kiti cha uraiskwa uwezo wake allah subhana. Wataala. 10
  • @
    @kalundemalale88374 years ago Hongera sana dr. Hussein mwinyi kwa hatua hii nzuri, allah akutangulie na akusimamie insha allah. Nakutakia kila lenye kheri. 1
  • @
    @hawakassimu61204 years ago Hongera ndugu hussein mwinyi mungu alutangulie, mtu mwadilifu wewe na mnyenyekevu pia mpole ccm hawajakosea wala kubahatisha. 2
  • @
    @amonbwanakunu9103 years ago Mheshimiwa rais wa zanzibar mheshimiwa doctor hussein ally mwinyi,
    kila siku ninakuombea kwa mwenyezi mungu,
    ninakutakia kila la kheri katika majukumu yako.
  • @
    @saimonirugwila344 years ago Hongera dk husseni mwinyi kwa kupeperusha bendera ya chama cha mapinduzi. 1
  • @
    @lasttrumpetmission12624 years ago Mungu akutangulie kwa ushindi huu, napenda unyenyekevu wako. 5
  • @
    @magesachacha38974 years ago Hongera sana mwinyi kwa hatua hii pia hotuba yako ni nzuri sana. 1
  • @
    @rosemarychuwa86964 years ago Hakika ni muda muafaka wa dr hussein mwinyi, mungu akulinde na kila baya.
  • @
    @omarmohd18824 years ago Millard ayo mungu akupe nguvu " zaidi. 2
  • @
    @adammwita31504 years ago Kweli unafaa kuwa rais, maana wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa jkt umejitahidi xana, hongera xana. 4
  • @
    @yohananhembelo54734 years ago Vzr sana mwiny pambana kwa masilahi yazazbar na tanzania kwaujumla. 5
  • @
    @ms.independent89344 years ago Nimefurai kuona ameshinda mwinyi, maana yule mzee membe na mzee sefu wataburuzwa kwa kidole' ki1 tuu ccm wengine wataisoma namba2 na wakajifunze sanaa. 5
  • @
    @halimafaki81754 years ago Dr. Mwinyi allah akuzidishie ujairi uwongoze zanzibar kama magufuli na uwatumbuwe wezi bila huruma.
  • @
    @isayamsese34304 years ago Hongera sana kwa ushindi huseni mwinyi kwa uraisi.
  • @
    @jamilmwinge36954 years ago Kaisha kua rais uyo bado kuapishwa tu. 10
  • @
    @machintangachibwena59224 years ago Magufuli ndio rais wa kwanza duniani tangia mfumo wa vyama vingi vianze ambae hajapata mgombea mwenza katika chama chake kwa kupitia kiti cha uraisi nomaa kweli magufuli baba lao. 6
  • @
    @odenmwashambwa70064 years ago Hata mimi husema mwinyi namkubali sana kama rais wangu magufuli ninavyo mkubali. 1
  • @
    @friminamkenda74054 years ago Sefu utaisoma namba jman kka mnyenyekevu sana unafaa mwinyi. 1
  • @
    @jaafarmkatta13364 years ago Mnaoumia mnajulikana tu kwa comment zenu. Lakini haisaidii. Ni ishara ya jinsi itakavyokuwa hata kwenye uchaguzi mkuu. 3
  • @
    @charlesyapuka49924 years ago Huyu jamaa ni kauzu zaidi ya magufuli namfaham vzur sana kazi ipo. 7
  • @
    @Alkebu_lan224 years ago Mh ukishapata urais hapa zanzibar tunaitaji serikali ya kmama bala, huku mafisadi na wakandamizaji ni wengi na rushwa chafu. Set captivity free.
  • @
    @deusinkayamba36764 years ago Wewe na magufuli bado kuapishwa hongelen xana. 1
  • @
    @abaskhatoon94254 years ago Unapita znzbar dua zetu ziko na wewe keept up.
  • @
    @sameramwajdu90294 years ago Jamani uyo nimzaliwa wa zanzibar au ndio ukibugi kwa magufuli una toka tuu. 1
  • @
    @erickkinubi13944 years ago Kwani hotuba nzito zinaanzia kilo ngapi millard.
  • @
    @hanifahassan91384 years ago Nyota ya nge oye ni watu ambao tunajiamini sana hongera dr mwinyi kwa kuchuana na nyota ya mizani na nyota ya punda ni furaha tu kwetu km naweni nge gonga like tuwe pamoja. 4
  • @
    @masharubundevu37654 years ago Mwana wa nyoka ni nyoka tu, hy ndo walewale, hwn moja,
  • @
    @jeanmubemba12044 years ago Nimefurahi sana ma daktari tumetisha anatoka pathologist anaingia gwiji tena. 6
  • @
    @ukweliunauma45704 years ago Wapiga kura wote 164. Ccm zanzibar ni 35 katika wapiga kura wote. Hakuna kura iliyo haribika.
    c. C. M bara 129 +35= 164
    dr khalid 19 id="hidden5"
    shamsi 16
    dr husen mwinyi 129
    kura zote 129 zinatoka tz bara sasa wanzibar wenye imani na nchi wazimgatie haya kuna nini
    . ...Expand
  • @
    @masharubundevu37654 years ago Tushakuchokeni wazanzibar wote tumekuwa km vizee kwa hali ya misha ilivo ngumu muungano unatuuwa hauna usawa ila mungu anakuoneni. 1
  • @
    @sponsor78824 years ago Kila kitu kishapangwa kitambo, wanatuchezea akili tu.
  • @
    @ambestambest91654 years ago Oya tunamsubiri mtoto wa sheini ajekuwa raisi kumamake kama tunaongeza kifalume bwana.
  • @
    @hanifahassan91384 years ago Nawe mwinyi usifurahi tu kwamba utalindwa pole na majukumu yajayo. 2
  • @
    @riziwanirashid91334 years ago Chama hiki ni chama cha mjambazi cha watu wenye laana la mwenyezimungu laana tu llaah wote iko siku allahtu kama alivyo mungamiza firauni laana tu allah na watu wake muda utafika tu inshaa allah.
  • @
    @temkezatv43814 years ago " tanzania kwanza mengine baadae jpm nambari 1 katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza . ...Expand
  • @
    @msheremasoud95274 years ago Tunajua hakuna hali ngumu zaidi ya tunayoipitia ingawa dhulma haiwi halali tunamuomba allah atusame na atuondishee mabalaa.
  • @
    @hajimakame10624 years ago Hatumtaki huseni uyoo si mzazibari uyoo mume muandaa miaka 5 uyoo kuja kuiuwa zanzibar mnamleta huku aje amalize zanzibar sio sikwao uyoo huku uyoo makufuli.
  • @
    @ndimimaskati36414 years ago Huwezi kuwa rais wa zanzibar, wewe ni mtanganyika. Kiongozi wa zanzibar ni lazima awe mzanzibari.
  • @
    @masharubundevu37654 years ago Madhalimu wakubwa kwa mungu mtajibu jioneni duniani mshapeta ila kwa mungu mtajibu.
  • @
    @maiyaal7inai2604 years ago Hakuna shule wala hospital bora masikini anazidi kuwa maskini na hakuna vijana wote wazee kwa maisha ila wsfalme wa kiaafrica wanarithiana madaraka insmaana znz ccm hakuna wasomi. 2
  • @
    @sasha-ri7tf4 years ago Hapo tumesha wanyoa bila ya kuweka maji bado maalim kutangazwa, maalim atajitangaza kama2015 ili apate kututoa majumbani tuanze mapambano ya kihistoria asiye na nguvu abakiye nyumbani ni siku ya ukombozi wa kweli. ...Expand 1
  • @
    @marymfugwa8474 years ago Aliye nacho ataongezewa. Baada ya miaka kumi tunarudi kwa karume.
  • @
    @officialjohanesmkandara43014 years ago Mtoto wa rais anakua rais na mtoto wa mkulima atakua mkulima2 tunasubili mjukuu wa mzee mwinyi nae aje kua rais tukijahaliwa inshallah wakulima wenzangu tukutane shamba. 5
  • @
    @ukweliunauma45704 years ago Nchi ya hao tu mpaka akitoka mwana mjukuu baadae, nashangaa ao wana chama wako kama mazuzu, vipofu wanafata mkondo kwa faida ya wengine, kidumu chama cha mapinduzi kidumu mpaka kiama. 1
  • @
    @sameramwajdu90294 years ago Kanafurahii wafkiri ndio kushapita uongozi ni maswali utakwenda ulizwa mbele ya haki.