Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Albert Chalamila amekabidhi rasmi Ofisi leo kwa Mkuu wa Mkoa mpya wa Mwanza Robert Gabriel.
Uteuzi wa Chalamila umetenguliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mabadiliko madogo ya Wakuu wa Mikoa aliyoyafanya ambapo Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhandisi Robert Gabriel Luhumbi amehamia Mkoa wa Mwanza kuchukua nafasi ya Chalamila huku RC wa Tabora Ally Hapi akienda Mara kuwa RC akichukua nafasi ya Gabriel, swipe kuona picha nyingine.
#MillardAyoUPDATES
Category
Show more
Comments - 241
Related videos for CHALAMILA AKABIDHI OFISI RASMI KWA RC MPYA WA MWANZA MUDA HUU, BAADA YA KUTENGULIWA NA RAIS SAMIA: