Duration 4400

UJENZI MJI WA MAGUFULI, Mkuu wa JKT Meja Jenerali Mabele Akabidhiwa TUZO ya SUMAJKT

3 722 watched
0
23
Published 3 Dec 2021

Leo Disemba 2, 2o21. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa amezindua awamu ya pili ya ujenzi wa Ofisi za Wizara katika Mji wa Serikali ujulikanao kwa Jina la MJI WA MAGUFULI (Magufuli City). Akihutubia wakati wa hafla hio, Waziri Mkuu amewataka Watanzania kujitokeza na kushiriki kikamilifu katika Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania ambapo Kitaifa yatafanyika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam. Aidha Mheshimiwa Kassim Majaliwa amekabidhi TUZO kwa Makampuni na Mashirika ya Ujenzi yaliyohusika kujenga Ofisi za Serikali Awamu ya kwanza kwenye Mji wa Serikali Mtumba. SUMAJKT ni Miongoni mwa Mashirika hayo ambapo Tuzo hio ilipokelewa na Mkuu wa JKT Meja Jenerali Rajabu Mabele.

Category

Show more

Comments - 0