Duration 2:47

Mwanamume anayedaiwa kuonyesha dalili za Corona afariki hospitalini MP Shah

161 084 watched
0
456
Published 7 Mar 2020

Huku visa zaidi vya virusi vya Corona vikiendlea kuripotiwa kote duniani na hasa katika bara la Afrika, Kenya imejipata katika hali ya wasiwasi, baada ya ripoti kuwa mwanamume mmoja mkenya mwenye asili ya kihindi aliyewasili kutoka nchi ya India hapo jana akiwa na dalili zinazohusishwa na virusi vya COVID 19 alilazwa katika hospitali moja ya kibinafsi Nairobi na kisha kuaga dunia. Kitengo cha serikali kinachohusika na magongjwa ambukizi tayari kimechukua sampuli ya damu yake ili kubaini chanzo cha kifo chake. Inadaiwa kuwa huenda aliambukizwa virusi hivyo.

Category

Show more

Comments - 181