Duration 1:37

Goli kali la Zimbwe Jr | Gwambina FC 0-1 Simba SC | VPL

260 001 watched
0
960
Published 24 Apr 2021

Goli pekee la Mohamed Hussein (Zimbwe Jr) limeipa Simba pointi tatu muhimu mbele ya Gwambina FC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Gwambina, Misungwi mkoani Mwanza. Tazama shuti hilo. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 171