Duration 27:5

MAMA ALITAFUTA WANAE KWA ZAIDI YA MIAKA 40/ALIPOKONYWA NA BABA/MAISHA YAO MAPYA BAADA YA KUKUTANA

121 544 watched
0
982
Published 28 Feb 2021

Mama huyu ametoka NchiNI Kenya kuja kutafuta Watoto wake watatu ambao aliwaacha miaka 43 iliyopita ambapo kwa mujibu wa Mama anasema alipokonywa watoto na baba yao kisha akafukuzwa.Mama anasema alifanya jitihada mbalimbali kipindi hiko ili kuwapata watoto wake lakini hakufanikiwa.Ndipo juzi alipoamua kuja tena Tanzania na kuja katika radio clouds kunitafuta ili niweze kumsaidia kutangaza aone kama ataweza kuwapata wanae. Kwa bahati nzuri baada ya kipindi kuruka kuna watu walisikia na walikuwa wakiwajua watoto hao pamoja na baba yao ndipo walipowaarifu kuweza kufika waje wamuone mama yao...! Fwatilia tukio hili la kusisimua kisha ujionee maisha yao wanayoishi sasa hivi baada ya mama huyu kujuana na wanae aliopotezana nao kwa miaka 43. #geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah

Category

Show more

Comments - 431
  • @
    @mariamfataki80253 years ago Hii story ilinisisimua sana. Mzee taji dah mungu ambariki sana. 17
  • @
    @margaretwambete12283 years ago Hongera clouds. Mzee taji wewe kiboko yao. Mungu akubariki. 48
  • @
    @Da_Gee3 years ago Nimesoma na mwanahamisi j4 form 5&6 zanaki high school, ni mpole, mtaratibu, ana upendo wa kweli, hana makuu, ni mnyenyekevu na mcha mungu pia. id="hidden1"
    alikuwa mtulivu shuleni, hana makundi, alikuwa na bidii ya masomo sana, sishangai mungu kumfikisha hapo.
    yaani alifuata ushauri wa baba yake mdogo kabisaa, hakuwa na mambo ya wanaume shuleni kabisaa.
    hongera rafiki yangu kumpata mama yako, ni furaha ya ajabu! Mungu yu mwema.
    mpokee mama yako, mfurahie kuwa nae na wakati wa furaha, cherish your time with her. Ni neema mungu amekupa.
    mtunze mzee taji na mkewe, zidisha upendo kwao pia, yaani hao wazee ni baraka yako
    . ...Expand 19
  • @
    @meebee25863 years ago God bless you mzee taji, you are the hero. 5
  • @
    @abdullahalkindi96733 years ago Mashaallah watoto wa kike wanakuwa na huruma sana kwa wazazi wao hata kama wanawatesa. 7
  • @
    @glorykarim15703 years ago Hakuna radio nzuri kama ya clouds fm jamani maana mabo wanayofanya ni mazuri sanaa yanampendeza mungu wanapenda geah habibu mtt mzuri. 17
  • @
    @juliethhouseofdesigns1473 years ago Mzee taji mungu akubariki kwa moyo uo na mama taji ubarikiwe. 9
  • @
    @liliankemuma94753 years ago Geah habibu hongera kwa kazi mzuri unayoifanya nakupenda tu saana watching from kenya. 7
  • @
    @palokuthereza25553 years ago Mwanahamisi mstaarabu sana ni mtu mzuri. 13
  • @
    @khdigahk42463 years ago Uyo mama angekua wanae wanamaisha magum angeumia zaid yakuumia lkn kafarijika kwa maisha ya wanae mazur alhamdulillah. 25
  • @
    @olivamarunda83183 years ago Huyo bb mdogo mungu ambariki sana naye mungu ampe heritage. 5
  • @
    @memochep96373 years ago Nilipoteleana na ndugu yangu 1990 kutoka kenya naomba mungu siku mmoja tutaonana. 5
  • @
    @ruwaidaal-ismaily90993 years ago Baba mdogo mashaallah lakin ndyo mtu alyomuwa hanywi pombe ndyo maana lakin engekuwa anakunywa engekuwa kashawatimuwa lakin mzee aliwalea vizur tena ana anawapenda. 16
  • @
    @fatumakingi975310 months ago Na mnafanana mwenyezi mungu ampe umri mzee taji na akimtwaa basi amjalie pepo.
  • @
    @leahemmanuel90293 years ago Mzee taji atavikwa taji kwa kazi nzuri ya malezi. 8
  • @
    @bosslilyg43903 years ago Mzee taji una fungu lako kwa mungu, mungu akupe umri mrefu na afya tele. 1
  • @
    @hanifatanzania72583 years ago Kumbe baba mzeentaji. Muislam. Maashalah basijitahidi kuwaongoza na wanao warudi. Kwa allah. Mavazi wabadilike wwutajua na maswari. Kwa allah naunaonekana unarohonzuri sana allah akulipe heri lnshallah. 1
  • @
    @spreadlove21193 years ago Gea nakupenda unafanya mambo mazuri na ya heri. Halafu umependeza sana darling. 31
  • @
    @khamisshee51313 years ago Kazi na roho kuuma na kwa yule mama yao alowatelekeza na kuwakana
    akiona hii clap nyumbani kwa mwanahamisi najuwa huko aliko roho yamuuma sana shukran sote ni kwako ww dada geah
    aka bachuchu mombasa
    .
    ...Expand
    5
  • @
    @rukiakhamsin92203 years ago Masha allah, bint wa mwanamisi ana fanana na bibi yake. 10
  • @
    @dignakanje45083 years ago Mungu niwarehemasana namama yko. Mpka machozi yamitoka. 3
  • @
    @xkingx80413 years ago Mungu awabariki clouds fm. Na da geah wewe! Inabidi nije nikuone. 6
  • @
    @mwanamisiramadhan47733 years ago Masha allah hongera sana somo yangu mwanamisi kwa kumpata mamako kina mwana wapole jamani halafu somo yangu pia anavaa miwani pole mwaya class="buttons"> sisi kina mwanamisi hatutaki kuuitwa mwanahamisi .. ...Expand 5
  • @
    @vailethanod15223 years ago Mzee taji mungu akupe maisha marefu we mzee nakuombea sana. 3
  • @
    @salumalriyamy3 years ago Wengi mnamsifu mzee taji. Ni vizuri.
    lakini kwa fikra yangu wa kusifiwa zaidi ni mkewe mzee taji.
    1
  • @
    @dorothtobias80532 years ago Gea mbarikiwe sana mmekuwa faraja sana kwa familia nyingi. 1
  • @
    @neydenyo67863 years ago Mzee taji namfananisha na mama yangu mdogo, aliachiwa watoto watano mimi nikiwa na miaka2 leo hii nina miaka 25, baba yangu mzazi nasikia yupo sijawahi . ...Expand 36
  • @
    @judithmelvinealuchio89683 years ago Kama kweli wa tz muna upendo au ni dunia nzima kuna watu wazuri kama huyo baba mdogo mungu awabariki sana nyinyi wote much love from me. 61
  • @
    @janslinjanslin98893 years ago Mungu ni mwema kila siku ukimtegemea hawezi kukutupa. 20
  • @
    @alfredmbyopyo31263 years ago Very touching story, sijui ipo kwenye kundi gani la huzuni au furaha, ki ukweli hii story imeniliza na hapohapohongera wanakipindi cha leo tena kwa kulifanikisha hili jambo mungu awabariki. 1
  • @
    @juliethhouseofdesigns1473 years ago Geah nakupenda bure mungu akubariki kwa moyo wako wakujitoa
    mama abaki ata miezi 3 aongee na wanae ikiwezekana ajiandae arudi au watoto waende naye kenya waone anapoishi ili iwe rahisi kwao kutembeleana.
    3
  • @
    @azamajid95303 years ago Mashallah mama kakuta mambo meupe kwa mwanae mungu akupe nguvu afya geah. 10
  • @
    @ablatuny54063 years ago Wanafana sana hasa huyo mjukuu wa kwanza ndio bibi yake mtu mie naona. 34
  • @
    @yusrasalum3 years ago Gea umehakikisha mpaka mjengoni yani natamani km uwepo tujue vingi ila mama kakaa kiuwoga sana mana mwanahamisi anataka kujua vitu vingi. 10
  • @
    @happinessmwissemwissw17193 years ago Daah hii story imenikumbusha mbali sana siku wazazi wetu walipo kufa duuuh ndugu walitugawana kama mboga maisha haya. 6
  • @
    @sharifaabdullah68253 years ago Masha allah mungu ambariki mzee taji ni wazee wachache' wenye hekima' alhamdulilah. 8
  • @
    @vickymgaya93373 years ago Mungu mwema sana na hata hivyo wana miili mizuri mama hajazeeka sana wala watoto wake wanalingana na watoto wao. 3
  • @
    @sabihahamadi22873 years ago Subuhanallah jamani wanaume wanahatari kweli mungu ni mwema asante dageya mungu akusimamiye kwenye kazi zako akulinde nahasadi na husuda akupe afya. 1
  • @
    @aishasalimaishasalim13233 years ago Hii story iliniliza sana aki mungu ni mwema kazi nzuri gekha. 1
  • @
    @zuwenaalamini41583 years ago Yaan. Mpaka nasisimka gea mungu akupe maisha narefu. 11
  • @
    @janemburu41123 years ago Mzee mungu akupe maisha malefu kwa kulea hao watoto na akubaliki sana. 1
  • @
    @samsungoman56263 years ago Maashallah mungu mwema hamtupi mjawake nawatakia maisha mema. 1
  • @
    @hamidaalhabsi85683 years ago Eee jamani hakuna kama mama mungu amrehemu huyo baba yaarabi na msamehe. 2
  • @
    @zakyahya46453 years ago Mashallah clouds ni redio mzuri sana mungu atawalip.
  • @
    @pendomangalili75013 years ago Hongera clouds redio, clouds tv hongera mama kuwapata wanao hongera watoto kumpata mama yenu, mungu ni mkubwa sana. 10
  • @
    @minnaaibrahim89943 years ago Mmepata mama msimsahau mzee taji na demu wake. 3
  • @
    @mariambakari9963 years ago Masikini jamani hongereni sana nimejikuta machozi yananitoka kama mimi ndio niko kwa hiyo familia jamani mama amefanana na mwanae dah! Hadi raha kwa kweli. 3
  • @
    @allyhamadi6783 years ago Uyo mama anaitaji sifa katika kenya kuja kuwatafuta watoto wake na wakati mm nimesusiwa mtoto na mama na mbaka leo ata kumjurie hari mwanae ataki. 2
  • @
    @sweetbertrwiza59823 years ago Mzee taji na mke wake wana moyo wa tofauti. 2
  • @
    @Amina-bq2xe3 years ago Mjukuu photocopy ya bibi mashaa allaah. 9
  • @
    @lorraineatieno65443 years ago Haki ama kweli wanafanana na mama yao. Baa mdogo ubarikiwe. Nisisi wazazi hukosea watoto. Bt mungu awaunganishe. 1
  • @
    @safiyatheonlything78483 years ago Mashallha munich awaweke lnshallha raha sana nimefurahi kama ndo mm.
  • @
    @fatmaabeid96683 years ago Mashallah hongera saanaa bint habib mungu atakupa fungu lako.
  • @
    @nahishakiyeassuman55413 years ago Love mama kwakwel ani wamefanana sana kwakweli. 2
  • @
    @mahamudali14533 years ago Hogera mzee tagi kwa kujitoleya kuwalisha watoto howo viziri tuna kuombeya mungu akuzidisheye inshalah from toronto canada.
  • @
    @immaculeevumiliya51403 years ago Kazi nzuli sana umefanya mungu atakulipa.
  • @
    @gililwise3 years ago Yaani huyo mzee taji na mkewe mungu awabariki sana kwa upendo wa kukaa na hao watoto. 6
  • @
    @valenakomba76863 years ago Wanafanana sanaa, yaani hao ni watoto wake kabisaa. Hata huyo mjukuu wake anafanana na bibi mpaka maumbile. Mungu awabariki sanaa.
  • @
    @sharinv88643 years ago Very painful jamani kwakweli wakati wa mungu ni bora sana sasa familia ina furaha jamani. 2
  • @
    @isaacm18523 years ago Haya mambo nilikua naona ulaya tu sikufiria africa yapo i' m speechless aisee.
  • @
    @eshasozy693 years ago Dada geah unafanyakazi vzr sana
    hongera sana.
  • @
    @mwanamisiramadhan47733 years ago Masha allah mzee taji tabasamu lake latoka moyoni ana roho nzr sana kwa kumuangalia tu tabasamu lake allah akupe upendo huo.