Duration 7:25

MOTO WA NASSARI BUNGENI, ATAJA KERO MALIASILI NA UTALII

112 573 watched
0
419
Published 22 May 2018

Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akizungumza bungeni alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka wa fedha 2018/2019, jijini Dodoma leo.

Category

Show more

Comments - 94