Duration 4:56

HIZI NDIZO SEKTA ZILIZOCHANGIA ZAIDI UKUAJI WA UCHUMI TANZANIA-BoT

532 watched
0
4
Published 22 Feb 2021

#MichuziHabari #MichuziTV Uchumi wa Tanzania umeendelea kuimarika katika kipindi cha miaka mitano iliyopita(2015-2019), uchumi ulikua kwa wastani wa 6.8% kwa mwaka na kuiweka Tanzania miongoni mwa Nchi zenye uchumi unaokua kwa kasi zaidi Afrika baada ya Ethiopia na Rwanda”-Aristides Mrema, Mchumi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), wakati wa semina ya mafunzo kwa waandishi wa habari za uchumi na biashara Mkoani Mtwara leo “Sekta zilizochangia zaidi ukuaji wa uchumi wa Tanzania kwa wastani wa 6.8% kwa mwaka katika kipindi cha mwaka 2015 hadi 2019 ni pamoja na ujenzi (25%),kilimo (20%), viwanda (9.6%),usafirishaji na uhifadhi mizigo (8.3%) na biashara (7.3%)”-MREMA

Category

Show more

Comments - 0