Wiki ya kumbukizi ya Hayati sokoine inahusisha Maonesho ya Teknolojia mbalimbali pamoja na kuwepo kwa Mkutano wa Kisayansi uliofanyika Mei 25 na Mei 26.
Pia yapo maonesho ya bidhaa za kilimo, ufugaji na uvuvi, mashindano ya michezo mbalimbali,shughuli za kijamii za upimaji wa afya na mambo mengine mengi tu
Wiki ya kumbukizi ya 17 ya Hayati Edward Moringe Sokoine kwa mwaka huu imebeba kauli mbiu isemayo“Teknolojia za kilimo Kuzalisha kwa tija na ushindani katika soko la Tanzania kuelekea uchumi wa kati wa juu “.
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for LIVE: Mdahalo wa kumbukizi ya Hayati Edward Moringe Sokoine-: