Duration 13:18

Ndugai Amkumbuka Makonda Mbele ya Samia Huyu Alijiita yeye ni Raisi wa mkoa msijidanganye kama yeye

56 934 watched
0
158
Published 19 May 2021

Category

Show more

Comments - 112
  • @
    @susankitila86843 years ago Waziri mkuu ana hekima sana. Na mungu akubariki sana. Mh majaliwa kweli wewe ulikua pamoja na rais magufuli. Ubarikiwe. 1
  • @
    @stevenmabungi32453 years ago Namkubali sana waziri mkuu ndugai hatufai sisi maana ni kinyongo huyu na mtu wa namna hii muogopeni sana. 2
  • @
    @nadhiriahmadi31203 years ago Hafai kuwa spika wa bunge ni mnafiki mkubwa kipindi cha hayati magufuli alikuwa wapi. 7
  • @
    @munakkwangaya56363 years ago Hongera waziri mkuu huko pamoja sana na wananchi wako balakoa tupa kule hazina nafasi tanzania yetu tupo salama m/mungu anatusimamia vyema. 3
  • @
    @valenakomba44533 years ago Sasa je, acha umbea. Hata mzazi huwa wanasema mimi ndo rais wa nyumba hii, kwani hapo kuna ubaya gani? Acheni majungu jamani msiwazibie watu riziki zao. . ...Expand 6
  • @
    @tundamasaga95303 years ago Sio kweli kwenye utendaji ni lazima ujivishe majukumu yote usimuachie mtu ukipatia au kukosea lawama au sifa ziwe zako ndugai acha fitina mkumbuke na sisi tunaakili. 2
  • @
    @marcoboniphace81083 years ago Nikikumbuka maneno ya baba yetu alisema mtakuja kunikumbuka kwa mazuri siyo kwa mabaya. Kweli taanza kuyaona. 5
  • @
    @ludoviclimo41533 years ago Mama tunakuku bali sana. Ila tunakuomba barakoa zannje ya nchi zisija hapa nchini. Mitumba ifungiwe isije. Kingjne kikwete asiwe muongeaji sana. Kwakua elimu alioileta yeye leokwasasa. 4
  • @
    @pontianrweyongeza62403 years ago Ninashukuru mungu kuona taifa retu rinaenderea vizuri,
  • @
    @mariambilonkwa51833 years ago Mama sa 100 ndungai ni nyoka wa ndumi la kuwili muogope kama ukoma. 2
  • @
    @johannesrwiza3 years ago Hatimae ikulu imerudi dar es salaam. Rip magufuli. 3
  • @
    @maxlattinokiki81053 years ago M h: samia, huyu ndungai nayeye ungeli muangalia tungeli mbadilisha maana huu uongozi una mpa batara! Kila siku yeye tu! Khaah! 3
  • @
    @sudymgeni7013 years ago Yani ndugai mungu anakuona. Baba angekuwepo ungeongea kweli.
  • @
    @pitargamba92083 years ago Mwandishi acha ushoga nani hajui makonda mazuri yaliyoyafanya tangia akiwa dc hadi rc alipambana na madawa ya kulevya nk. Hadi uchumi ukapanda daa. 10
  • @
    @abdulkilala98453 years ago Linafiki tuu spika gan msaliti nyau tuuu ww.
  • @
    @susankitila86843 years ago Halafu mna roho. Mbaya sana nyie. Kumuondoa. Makonda katika nafasi zote. Kijana alikua anaweza uongozi au udn. Nini.
  • @
    @yagwishaheke25243 years ago Ndugai kama mama tu huna unachomzidi makonda kazi. 7
  • @
    @vbnmmnbv52923 years ago Hamna wa kumfananisha na makonda japo sasahivi anaonekana hana maana ila dar tulishazoea amshaamsha za makonda mis ur makonda. 13
  • @
    @hamisikadege58673 years ago Umenifurahisha unavoanza kuanza kwa salamu ya mungu maana hii awamu imehama kabisa kwa mungu. Naona tunasalimiana kwa nina la nchi.
  • @
    @masanjamasaga37583 years ago Makonda alikuwa vzr sana ww unamchafua bure mtu wawa watu. 3
  • @
    @jeffkonki82793 years ago Ogopa sana serikali ambayo kilaanaeongea anapigiwa makofi.
  • @
    @manenoyusuph49073 years ago Acheni unafiki huyo aliejivika joho la raisi kwani nchi ilikuwa haina kiongozi na akamtumbuwa mbona kama unazungumzia uongozikwa uuma.
  • @
    @stevenmabungi32453 years ago Mkuu wa mkoa ndiyo smirk jeshi mkuu katika eneo husika ndugai acha majungu wewe na msipende kujipendekeza ni dhambi kubwa kwa mungu.
  • @
    @masanjamasaga37583 years ago Makonda alikuwa mchapa kz kafanya kz kwelikweli ktk mkoa wa dar. 6
  • @
    @azizabdallah5853 years ago Mh.
    hapana. Kila mtu muhusika abebe msalaba wake. Siyo mkurugenzi kaharibu kazi eti mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya Hivi hapo bungeni kama katibu wa bunge kaharibu kazi. Je ni haki wewe spika na naibu spika muwajibishwe.
    ...Expand
  • @
    @emilykassiano61733 years ago Majaliwa anapoongea unaona kabisa anamaanisha mungu mlinde waziri mku wetu. Na ukipenda mbeleni apate cheo kikubwa zaidi.
  • @
    @mary.matullu82793 years ago Msizoee masks za nje zina funza tumia microscope utaona msioene vyanje watu wa huku hawawataki mema. Sijui muabiwe mara ngapi. 4
  • @
    @issanmedia46543 years ago Tumain lang ni kwa majaliwa, hakika ww cio mnafiki nakupenda barakoa kwetyu cio tiba, ni lulu pekee iliobakia, hatuwez jua sana lakin hakuna namna hyo . ...Expand
  • @
    @paulmasansi18153 years ago Anawatetea wakurugenzi kwakuwa mke wake ni mkurugenzi wilaya ya bahi.
  • @
    @nassoromsangi13233 years ago Mh! Ndugai mbona umedharau salamu mama aliyoianzisha kusalimia kwa jamhuri ya muungano wa tanzania.
  • @
    @maishayamtaani28313 years ago Mbona wewe ujawajibika ulimtukana makam wa rais kuwa akumshauri rais vizuri je ulijiuzuri. 1
  • @
    @mawazokasembe84983 years ago Kila akilaumiwa makonda kunawengine wanasema alifanya kazi vizuri sana eti alidhibiti madawa ya kulevya! Hivi ndo jambo la muhimu alilotumwa akalifanye . ...Expand 4
  • @
    @bakarimngazija66723 years ago Ndungai huna jipya wewe mwenyewe huwajibiki bunge umelivuruga na kila mtu anajuwa ndungai unajipendekeza lakini siku yako inakaribia na inakuja na majuto makubwa! 1
  • @
    @lennykiganga47633 years ago Hivi hii nchi inarais kweli na kama yupo ni nan mbon sijaona rais wngkero kutwa nasia kunampokeaj wa wagen ikl but whatever the case nirud kweny point ya msingi rais anawakilishwa na mkuu wa mkoa akiwa hayupo ndo maana makonda akajiita rais sasa kwan ndungui ilikuwasxh nn. ...Expand
  • @
    @stevenmsaaada.msaada.3893 years ago Wejamaa mbona unamajungu kama limwanamke ivo? 1
  • @
    @magrethmallya77283 years ago Bora makon da kuliko wewe ndugaya kwani wewe kazi yako ninini? Hatukuelewi kabisa yani. Makonda babalao. 2
  • @
    @annakisiga8893 years ago Wewe ndugai huwez kujifananisha na makonda send kuwa aliwazibia nafas zenu za uuzaji madawa ya kulevy pimbi wewe jimbon kwako hata umeme hauna.
  • @
    @francokamugisa2963 years ago Nchi hii ukisaidia wananchi unawaudhi wakubwa ukila na wakubwa unalaumiwa na wananchi, hapo chagua moja ule na wakubwa uwe salama au usaidie wananchi ufe. 1
  • @
    @JK-uq1tv3 years ago Ila hiz barakoa kuna viongozi hawajazoea wamefunika mdomo tu pua wameacha.
  • @
    @florakweyunga44903 years ago Nani kamaamepambana, leo hii wewe unasema hivyo. Walio mchukia makonda niwale walio kuwa wanauza madawa yasaanachuki binafsi. 2
  • @
    @saidalsalmi93133 years ago Uko sawa mheshimiwa ndugai ujipe ukubwa ambao huna.
  • @
    @lemsanyajoel83603 years ago Mweshimiwa ndungai apo umesema ukweli. Hao wanaokupigwa wanafiki zao na jao wanaowapigia debe.
  • @
    @brightmackmwaky79683 years ago Mimi nawaomba wstanzania muwajue mafisi huyu ndugai ni ndumila kuwili nahisi ni asili ya ukwao umatonya. Hebu muangalieni anavyo jipendekeza kwa kuwapiga . ...Expand
  • @
    @jamesndondole94833 years ago Msituchanganye na mabarakoa mnataka kutuua kwa hofuu!
  • @
    @audaceleroi13703 years ago Hivi watanzania hamuoni kama inchi imeshauzwa?
    maana wale wote waliokuwa wanamuunga mkono jpm, sasa hivi wanapinga mambo yake!
    ao ni mimi ndiye nisiyeona vizuri?
    3
  • @
    @ropaultv56103 years ago Hii nchi kwa sasa haina rais,
    haito kuja kutokea tena tanzania ikawa na rais mwanamke labda baada ya miaka 10 kupita,
    sioni nuru katika leo tutasikia umeme kesho makubwa kuliko yanakuja. Tutaelewana tu. ...Expand
    2
  • @
    @diamondgeyser79873 years ago Acha ujinga ndugai, wakuu wa mikoa na wilaya ni wawakilishi wa raisi katika maeneo yao, haimaanishi kwamba wao ni raisi. Ila ndungai unajipendekeza sana kwa huyo mama mpaka inachefua.
  • @
    @fauzhaji71493 years ago Inapendeza kuona sasa musk zinavaliwa katika ngazi zajuu. Hopefully tutaona bungeni na sehemu nyingine nyingi na wananchi kwa ujumla. Hapa sasa unaweza . ...Expand
  • @
    @ziadaomeri60583 years ago Makonda alifanya kazi acha kumchafuwa kabisa. 7