Duration 6:44

Jinsi yakuondoa muwasho, mba, mapunye kichwani/jinsi yakutibu mba kichwanimbakuzanywelemiwasho

10 401 watched
0
112
Published 14 Jul 2021

Hello na Karibu tena, nimekuandalia somo hili lakuondoa mba ,miwasho ,mapunye,chunusi na upele kwenye ngozi ya kichwa Kwa kutumia vitu rahisi sana...natumaini utajifunza usisahau kusubscribe na kubofya kikengele Mahitaji •ndimu mbili •tangawizi moja ndogo •chupa yakuhifadhia mchanganyiko wako

Category

Show more

Comments - 99