unaweza kulipa bili yako kws kutumia simu yako ya mkononi.
SMS.
Hatua ya 1 - andika UJUMBE
Hatua ya 2 - Neno TANGAUWASA "Acha Nafasi Andika Neno "BILI" acha nafasu ingiza /weka AKAUNTI NAMBA YAKO {TANGAUWASA BILI 301.....}
Hatua ya 3 - Tuma kwenda namba 15200
Hatua ya 4 - Utapokea Ujumbe wa ankara yako pamoja na kumbukumbu namba ya malipo.
USSD
NAMNA YA KULIPA BILI.
KWA KUPIGA *152*00#
NAMBA 6 - MAJI
NAMBA 2 - MAMLAKA ZA MAJI
NAMBA 4 - TANGAUWASA.
KISHA CHAGUA HUDUMA UTAKAYO.
Category
Show more
Comments - 4
Related videos for Tangauwasa usomajiwamita JIFUNZE KUSOMA MITA YAKO YA MAJI: