Duration 19:35

CIA WALIMTUMA KUMUUA MZALENDO WA KWELI AFRIKA ALIYEMUUA NI MTU ANAYEMWAMINI SANA

36 156 watched
0
376
Published 20 Jul 2021

PLEASE SUPPORT US THROUGH AIRTEL MONEY +255 787 694 242 Thank you. Mwenyezi Mungu awabariki sana kwa kuendelea kufuatilia makala zetu kwenye channel hii. HIKI NDICHO KILICHOUTOA UHAI WA MPENDWA MFALME WETU JPM/ILA MUNGU YUPO HATANYAMAZA MILELE; /watch/4segFTLPm3DPg MAGUFULI WETU HAKUFA KIFO CHA KAWAIDA TUAMBIANE UKWELI; /watch/8pT03jiwjdpw0 MFALME HAKUFA KIFO CHA KAWAIDA ALIPIGWA SUMU AKAONDOKA DUNIANI; /watch/oauMVEaIGNPIM

Category

Show more

Comments - 118
  • @
    @joycebeautysalonwisdomhone75033 years ago Make sense brother bip up and god protect you with your true topics. 14
  • @
    @williamkirway46203 years ago Mfumo wa kidemokrasia unatumika naumoja wa mataifa ya kiafrika ili mabepari wa watu weusi na mabeberu wakizungu wapate mwanya wa kugawanya watawala nahaki zaza mtuisiyomtetea mwafrika, hizi ni mbinu walizoandaliwa na wazungu ndiyo maana adui wa mwafrika ni mwafrikahuu tusipouacha tutateswa nakutawaliwa milele na wazungu. ...Expand 3
  • @
    @restmbaga74473 years ago Unaongea fact mwalimu ninakukubali mno. Barikiwa sana. 15
  • @
    @sendeesupriydewoochiagaliy74743 years ago Great idea! Kaka pambana wa africa ni mabeberu tu! Na africa ni shamba la mabeberu!
    jmp amuawa na watu wake!
    11
  • @
    @sarahmwaluko24803 years ago Mungu akulinde baba na mikono ya wabaya. 3
  • @
    @jumanassoro15522 years ago Nam mwalimu isaya benson mwakilembe nakupata vyema mungu akuzidishie baraka njema afya tele na wahai mrefu amiina.
  • @
    @kuyimabele75463 years ago Safi sana mwalimu maana histria ndio kiini cha kila matukio na uharisia wake tuko pamoja mwlimu benson. 1
  • @
    @irenamichael67803 years ago Mungu atupiganie waafrika ipo siku tutajitegemea hata kama ni ndoto za mchana mungu ni mwema. 2
  • @
    @emmanuelbrassy4000last year Msema kweli mungu wa afrika akubariki.
  • @
    @drmapigimasunga34083 years ago Pamoja sana kaka tupo wengi sana katika maeneo hayo. 1
  • @
    @francismuya13313 years ago Hakika tunahitaji msaada wa mungu, hakuna kiongozi au mtawala yoyote atakaye tusaidia, maana wengi wao wanaajenda ya siri, wako kwa ajili ya manufaa yao, . ...Expand 2
  • @
    @bikilamngashabani32633 years ago Nondo unazotoa ninawasiwasi na maisha yako, opinion. 11
  • @
    @ramadhaniseifuledi513last year Magufuli akufa kwa mapenzi ya mwenyezi mungu kuna namna hapo.
  • @
    @hbdina3 years ago Inaumiza sana africa yetu viva dr. John pombe magufuli. 17
  • @
    @smukelomkhize97753 years ago Long time broo ulikuwa wapi tumekumiss sana elimisha jamii waelewe broo. 2
  • @
    @michaeljames34083 years ago Uko vizuri kaka sisi tunaroho za ajabu sijui ni nini tu.
  • @
    @malaikakimaro49543 years ago Ongera sana jamani kukutufaamisha sisi wanyongee. 3
  • @
    @YunusuKantangayo11 months ago Magazeti unasema kweli lakini mwenyezi mungu amlaze mahala pema peponi daima tutamkumbuka hstafutika r
    nyoyoni mwetu asante sana amina.
  • @
    @ernestmasanja25893 years ago Mwalimu viongozi wetu wa africa na wasomi wa africa ni watumishi wa wazungu na kuibia nchi zao. 5
  • @
    @selegioelias90763 years ago Anzisha forum ya uzalendo kwanza tuko nyuma yako pita kila mkoa tutachangia hizo harakati za kuandaa historia yetu na ya african nzima
    vinginevyo upo vizuri.
    1
  • @
    @devothasimbi10553 years ago Hilo ya nyerere uko sawa kabisa hatambuliki kabisa niko ufaransa maktaba hakuna kitabu kinachomhusu nyerere ni mandela tuu. 1
  • @
    @leahmgunda50553 years ago Ndiyo maana imeandikwa amelaaniwa mtu yule amtumainiye mwanadamu, watu huweza kuuawa na wake/waume zao, watoto wao, wasaidizi wao nk. 2
  • @
    @thelonewolf44293 years ago Mwalimu usikate tamaa endelea tu yupo mungu anaona jinsi unapigania haki ya mtu halali ambaye ni mweusi na wazalendo. 7
  • @
    @afrikamojatv3 years ago Umenichekesha sana mwalimu hapo mwisho. 1
  • @
    @noelkashilila99733 years ago Yaani nakufuatilia sana na ninapata kujifunza mengi sana endelea hivyo bila woga tujifunze mengi zaidi. 1
  • @
    @bahatimayala64943 years ago Mwalimu uko sahihi mno ila tu watanzania hawana uzarendo wakupenda vyakwetu ndiyo maana leo hakuna historia ya hayati baba wa taifa jk nyerere kuhusu kupigania . ...Expand 4
  • @
    @agreymanmwasenga4213 years ago Uko sahihi kaka watuletee mtaani tununue wala hatutaki bure.
  • @
    @mosesmzakwe77743 years ago Katika viongozi wabovu waliowahi kutokea afrika ni nelsonkiongozi mpumbavu sana mandela. Aliuza ardhi ya south afrika 87% kwa wazungu mpaka leo. 6
  • @
    @charlesmapunda59053 years ago Unacho ongea upande wa somo la historia la afrika wizarabya elimu inakosea sana kumfanya mtoto mpaka leo ajue kila kitu hapa duniani kimegunduliwa na mzungu . ...Expand 1
  • @
    @simongwandu73923 years ago Ndalichako amesahau magu alimtoa wapi isaya tunakuunga mkono endelea kupambana. 2
  • @
    @hamismabula58133 years ago Wizara ya elimu mmetuangusha!
    lkn hii yote inaonesha tz haina dira ndo maana tunaanzisha mambo kwa gharama afu zinateketea ovyo afu tunaanzisha vi tozo vya ovyo tu!
    1
  • @
    @deoluoga89153 years ago Ndalichako ni mama aliye feli tayari katika wizara ya elimu. Atolewe kwenye hiyo wizara, labda apewe wizara nyingine. 2
  • @
    @allyfutto87633 years ago Ni utaahira na roho mbaya kupuuza historia ya jpm na kuzima jitihada za kitabu au vitabu kuhusu jitihada za jpm, ndipo utashuhudia hakuna kiongozi atayejitolea . ...Expand 1
  • @
    @rwenenahomechannel16343 years ago Mimi nataja museveni na kagame wakitaka waniuwe sina uzuri kuliko magufuli, p. Eetc.
    hawa walikuwa handsome na watumia sana kuliko mimi.
    shame on you ndugu zangu wa afrika musiotaka kufunguka akili
    .
    ...Expand 7
  • @
    @dorcaskarago28763 years ago Leo tumeiona chanjo inavyo tapakaa kwa haraka huuu tanzania. 2
  • @
    @AZADEHSCHOOL3 years ago Muungani wa nn kwetu. Take example zanzibar na tanganyika kila sik kero. Ukoloni tu. 2
  • @
    @soundmalelast year Rushwa ililetwa na mzungu nasasa hivi hiyo silaha bado anaitumia mzungu tupinge rushwa ndio utumwa namba moja.
  • @
    @agreymanmwasenga4213 years ago Despite all good things a patriotic king jpm did and all memorable events, we miss him so much, it is a short time but like 10 years a peasant now has . ...Expand
  • @
    @abidandastanmaliyatabu137310 months ago Mwalimu andika hivyo vitabu utuuzie hao wengine achana nao ni wahuni kama wahuni wengine.
  • @
    @andersonsadock15733 years ago Kwan huyo muuaji kwenye picha anaitwa nan. 2
  • @
    @hamadimadisa93463 years ago Mwalimu mwekilembe ni kweli kabisa hata wa zigua pia storia kamili. 1
  • @
    @georgeshigela36433 years ago Tanzania inaweza kuwa haiti mpya inayokuja. 1
  • @
    @azizaaziza91133 years ago Benson nilikuwa nimemiss nasaha ama mafundisho yako. 2
  • @
    @sarahmwaluko24803 years ago Jamani mwenzenu nataka kushare hii lakini haikubali tatizo nini. 2
  • @
    @MsaneGeorge-ku7zo3 months ago Give me the truth about magufuli legacy.
  • @
    @agreymanmwasenga4213 years ago Wenye mamlaka tumhurumieni na mkulima pia. 1
  • @
    @MsaneGeorge-ku7zo3 months ago Madaraja mabarabara na majengo yatamnena magufuli nk.
  • @
    @kadashijunior21413 years ago Hv kwnn somo la history of tanzania limepotea? Yaani tunasoma history za evolution of man kuliko evolution of nation of tanganyika. 1
  • @
    @mosesmwailenge51923 years ago Najiongeza na ongea mimi kamimi wakina museveni hao wakina robati mugabe hao nawengine pia kama hao wamemadalaka hawataki kuachia kupe nangozi ya mbwaa au luba nangozi ya binadamu tanzania shimoni sasa. ...Expand
  • @
    @jeremiatesha9183 years ago Wewe si ulisema amefariki kwa njia ya kawaida ya asili.
  • @
    @cytkl3 years ago Mwafrika bado amlamba adui yake mzungu shetani. Yesu mzungu kawaroga.
  • @
    @zenaabdallah37973 years ago Mungu yupo kama ni kweli hukumu ni hapa2 siku zote kikulacho kinguoni mwako adui haoki mbali pumzika kwa amani jpm.
  • @
    @simonmwambene44413 years ago Ndiyo upo kuhubiri injili hapo mwambie mungu acha siasa wewe kazi yako ni kuomba tu.
  • @
    @jenyyusuph49733 years ago Yani saa zingine moyo una uma na kikatiba lao walilotunga vigogo kwa masilahi yao na kutuwekea viongozi wa ovu tuwacchagu ikitokea siku moja chochote kiwe . ...Expand 3
  • @
    @sosmakanya49013 years ago Kati ya humphrey polepole na mwalimi isaya nanani anafaa kuitwa tcra.
  • @
    @timboxlee9193 years ago Hivi hizo chanjo za corona virus, serikali ya tanzania inapewa kama msaada au serikali ya tanzania inanunua? Mimi sielewi naomba unifahamishe mtumishi wa mungu. 1
  • @
    @josephinarobert3325last year Watakuuwa maana hawapendi ukweri vibaraka wao wako humuhumu vita ya yukreni ilipoanza warisema urusi imeshazungukwa namarekani leo yakowapi hao wamarekani . ...Expand
  • @
    @zulfaoman75543 years ago Kaka mambo vipi mbona unapotea sana sikuhizi karibu kaka.
  • @
    @jumaramadhanirajabu19383 years ago Upo sahihi mandela hakuwa na kitu chochote propaganda za mabeberu maana hayati mwalimu nyerere alikuwa anawaambia ukweli. Viongozi wengi africa ni wanafiki . ...Expand
  • @
    @rehemakipesile49303 years ago Mimi natoka nje ya mada hii, mwalimu isaya naomba utufungue ufahamu juu ya wana wa israel halisi, wako wapi?
  • @
    @benjaminmwaipungu5943 years ago Mtaje basi aliyemwua magufuli, tumwambie samia amkamate, amfungulie kesi ya uhaini, aunganishwe na makonda, sebaya, na wengine unawajua mwakilembe, hatuna . ...Expand
  • @
    @simongwandu73923 years ago Isaya benson mwalimu wa dini unajiamini kiasi gani kuhusu unayoyaeleza ina ukweli.
  • @
    @ibrahimrajab17023 years ago Duh kaka unanikumbusha mbali hiyo historyhaikunisaidia chochote hadi leo. Kweli walituvuruga sana. 7