Duration 4:49

| MALARIA NA UJA UZITO | Utafiti wa dawa ya malaria kwa wajawazito unaendelezwa

3 387 watched
0
12
Published 22 Jun 2021

Wanasayansi katika taasisi ya utafiti wa matibabu KEMRI wanachunguza dawa muafaka ya kutibu malaria kwa wanawake wajawazito. Utafiti huo unaofanyika katika kaunti ya homabay unanuia kuhakikisha kuwa dawa za malaria ni salama kwa kina mama na watoto wao haswa katika miezi mitatu ya kwanza ya ujauzito.

Category

Show more

Comments - 0