Duration 5:34

ZABURI JUMAPILI YA 18

312 watched
0
11
Published 31 Jul 2021

JUMAPILI YA 18 ; MWAKA B ZABURI 78:3-4, 23-25, 54 K (24) AKAWANYESHEA MANA ILI WALE; AKAWAPA NAFAKA YA MBINGUNI Mambo tuliyoyasikia na kuyafahamu, Ambayo Baba zetu walituambia Hayo hatutawaficha wana wao Huku tukiwaambia kizazi kingine Sifa za Bwana, na nguvu zake. Lakini aliyaamuru mawingu juu, Akaifungua milango ya mbinguni, Akawanyeshea mana ili wale Akawapa nafaka ya mbinguni. Mwanadamu akala chakula cha mashujaa, Aliwapelekea chakula cha kuwashibisha Akawapeleka hadi mpaka wake mtakatifu, Mlima alioununua kwa mkono wake wa kuume.

Category

Show more

Comments - 1