Duration 31:43

HII NI DHAMBI KUBWA/SOKO LAVUNJWA USIKU MTWARA/RC,DC NA DED WASHAMBULIWA VIKALIMama Samia Tusaidie

14 980 watched
0
69
Published 17 Jun 2021

Category

Show more

Comments - 295
  • @
    @mussayasini41303 years ago Msijali ndugu zangu allah atakusimamieni. 2
  • @
    @hadijamagufuli26613 years ago Mama samia anadili na wafanya biashara wakubwa kwasasa yuko bize na corona. 1
  • @
    @uwezowamunguutendaokazi30433 years ago Poleni sana. Sasa hao wavunjaji ni wanadamu na watanzani au? Tarehe 05/04/2021 katika maombi ya asubui saa 3 nilipo taja jina tanzania nijijibiwa tanzania ipo gizani. Wana maombi tupendane kulia na mungu mkuu) amen.
  • @
    @thelivingwordchannel90273 years ago Magufuli alipofarik watu walikenua meno wakadhani sasa wataishi kwa raha. Tumerudi awamu ya nne kwa kasi yakwa watu wa chini kwenda mbele, na bado hiyo ni introduction tu. Ukiwa kiongozi softsoft
    ndo madhara yake hayo
    .
    ...Expand 3
  • @
    @SamsungGalaxy-kx2zj3 years ago Watanzania poleni sana tunacho shukuru mlipata nuru kwa miaka 5 ss wamachinga mumerudi ktk mtego wa samaki ilio baki muombeni m. Mungu atawarudishia haki . ...Expand
  • @
    @namirihamisi38993 years ago Mama samiya tafakari kunani huko halmashauri kuu? Sababu kila mkowa wananchi wanalia na halmashauri kuwavunjia biashara zao kunani halmashauri kuu wasikuharibie . ...Expand 2
  • @
    @devotajoel37303 years ago Rahis mama samia uko wap jaman uko wapi kweli jaman roho inaniuma sana jaman wajasiliamali tunahangaika jaman mama samia jaman ukwapi nakutia mala tatu mama samia mama samia jaman duuu. 1
  • @
    @andresmartin63323 years ago Mama ntu wa dili tuna subira kariakoo rip jpm. 4
  • @
    @asmamaarifa26493 years ago Ni zaidi ya mgambo wa morogoro, unyanyasaji upo katika damu zao. 4
  • @
    @hillumunna36403 years ago Huyo mama apewe ulinzi jamani duh sio kwa ukweli huo anaousema hapo r i p mfalme wa wanyonge. 1
  • @
    @benedictmrisho23613 years ago Itabidi watz tufafanue neno mnyonge jamani. Poleni.
  • @
    @johnmasanja17623 years ago Kitendawili, teegaa, mtanikumbuka kwa mazuri, na si kwa mabaya, nimeyatoa maisha yangu sadaka kwa watanzania masikini, he huyo alikuwa nani vilee, mkimtaja tu. 1
  • @
    @vianemakarious63953 years ago Au kuna hujuma dhidi ya serikali ya mama samia? 1
  • @
    @radhidylaizery70143 years ago Mungu mlaze paala pema mtetesi wawanyonge magofuli inatia uruma. 1
  • @
    @mbwanakiting71803 years ago Chacha nyinyi wanyonge nchiwe wakalichana bachi. 2
  • @
    @ashamwandu65723 years ago Dunia hii kuna watu watakufa vibaya mno, watauona mkono wa mungu yupo, inauma.
  • @
    @sultannassor48683 years ago Ccm ndo ilowafikisha apo endeleeni kuchagua. 1
  • @
    @ally2nyiii3183 years ago Kumbe mama samia atakuja tu mtwara hadi hapo mlipo ila tunzeni vizuri hiyo mikataba.
  • @
    @suleimansalim71943 years ago Mama hawa nduo wamekupa kura ondosha hawa dc, rc na dec.
  • @
    @josephngaeje57063 years ago Ni vigumu watu wale kutatua matatizo yalena watu hao. Yale ya morogoro yanaendelea kujirudia. 1
  • @
    @barnabalushenshe56713 years ago Jamani vipi kwa hili. Ni ujambazi wa wateule.
  • @
    @radhidylaizery70143 years ago Hapa ndio napo mkumbuka magofuli hakuna mtu angezubutu kufanya ivi angekuwa hai. 1
  • @
    @hamilhassan94643 years ago Hamna tena kesi hapo ndo mutamkubuka hayat magufuli.
  • @
    @mustafagehonde11543 years ago Kweli inaumiza hiyo mitaji na au madeni yatalipwaje au kuwafanya watu kuwa masikini. 1
  • @
    @hidayaamri11123 years ago Magufuli jamani sisi walalahoi hatuna msaada jamani uwiii! 1
  • @
    @ngoshathebest2283 years ago Mama samia naokuomba ukatende haki mama wanyonge kwa mahufur wameishi vizur mama na wewe uwe kama yy tunakupenda maza.
  • @
    @mussathomasdossa46873 years ago Hivi mbona wakurugenzi wengi wamekuwa wapumbafu hawa watu nchiyao wanaishi kama wakimbizi. 1
  • @
    @joharikitundu3 years ago Nakumbuka kipindi mkapa kuna tajiri alionewa ktk biashara yake.
    nilimpenda sana huo mbaba akaanza na aliyomkamata kafa,
    pili mpelelezi, aliyepeleka kesi mahakani chini
    mpaka majaji wote walikufa ila hao walitatakiwa wakupe ndani ya 3 ilo soko
    .
    ...Expand
  • @
    @prettyh75093 years ago Jamani maskini sio watanzania ndo maana yanatokea hayo.
  • @
    @namirihamisi38993 years ago Sheriya ifate mkondo wake na walipe mali zilizopotea. 2
  • @
    @elyotchisanga1383 years ago Mtetezi wenu kafa mama samia hawezi kuwatetea hanajipya.
  • @
    @aminaabdallah77023 years ago Lamda mkuu wamkowa aliwatuma wakavunje mnaduka yenu pamoja namkurungezi nawengine wakubwa waulinzi wamtara. 1
  • @
    @minabuelysee83 years ago Apo nikmuomba allah tu awezesh ila mkisubiria msaada wa mama samia mtasubiri sana
    aliekua na roho yakusaidia wanyonge hauko tena duniani.
    1
  • @
    @deusnzeran47523 years ago Hawa si ndo wanavunjaga mashamba ya watu! Mama atawamaliza kabisa.
  • @
    @nemamasawe65843 years ago Kwani uchawi haupo wana mtwara, kwanini viongozi hamjifunzi kupigia wenzenu angalien sabaya na wenzake yanayowakuta, kuweni vingoz bora, kuna maisha mengine baada ya hayo.
  • @
    @fatemaligalawa19183 years ago Mama umejitoalea kuongea machunguyenu sasa wasioelewa watakusumbua saana.
  • @
    @colestmakoloo15003 years ago Aliyaongea aya magufuri kuwa tutamkumbuka ndio aya sasa.
  • @
    @gililwise3 years ago Wapi mkurugenzi na dc na rc? Rais mama waondoe wote hao.
  • @
    @jumannemalunkwi16943 years ago Haki itendeke uonevu uishe viongozi kueni waadilifu. 1
  • @
    @msetikebwasimasatu88493 years ago Hii migogoro serikali ndo inaisababisha wameshindwa kuwa na kauli moja kwambasiyo wa kuelimisha na akaelewa kirahisi rahisi tu. Yani utatumbua mnoo ukiwafuata raia.
  • @
    @mussaelisha37333 years ago Wanataka rais haonekane mbaya. Mh mama tumbua wote.
  • @
    @namirihamisi38993 years ago Huku watu mnawapa mikomo kusudi wajikwamue kimaisha halafu wanapofanya biashara mnawanjia na mali zinaibiwa sasa hiyo mikopo watailipaje? Au mnataka muwafilisi . ...Expand 1
  • @
    @sankofaman41123 years ago Mama samia mvivu kama nini, mwafkiri atawaskiza?
  • @
    @karimuhassan27163 years ago Kabla yayote uchunguzi ufanyike ijulikane ukweli upowapi,
  • @
    @salumrwambo57523 years ago Jambo jepesi nyinyi viongozi mngekaa na hao wajasiriamali mkalizungumza kwapamoja lakini inaonesha nyinyi mpo maofisini nakutowa kauli zenu hamkutaka kujuwa matatizo yao mukajuwa la kufanya lakini mnafosi tu.
  • @
    @briansancedo93363 years ago Kweli nimeamini maisha ya watu yapo mikononi mwa vyombo vya dora, katiba inasema viongozi wa serikali watajibika kwa wananchi, vyongozi wasome vizuri katiba yetu wanapotekeleza majukumu yao ya kazi tanzania yetu sote.
  • @
    @shabanadam21003 years ago Msinene saana hadi mkavuka mipaka mama ni mama tu siku zote ana imani na wanae atawaponya tu haraka kama kawaida yake.
  • @
    @zindahwillson21063 years ago Hiyo ndiyo ccm yenu, hamta acha kulia na bado sana, tukiwaambia mabadiliko mnatuona hatuna hakili.
  • @
    @rehemakabata84363 years ago I con mnajitahid kuibua kero
    ilawasilalamike sana hiyo ndio ccm mbele kwa mbele.
  • @
    @heyumi23403 years ago Mtanikumbuka kwa mema na c kwa mabaya john pombe magufuli ulifanyawakaishi kwa aman zaidi.
  • @
    @fatemaligalawa19183 years ago Mkuu wamkoa siyule mjeda aliyeetokea kagera kazianayo.
  • @
    @josephmakutano70673 years ago Hiyondiyo tzyaccmnikipindi cha ukoloni kumbe tz bado kuna wakoloni weusi! Tatizo tanzania katiba mbovu badrisheni katiba! 1
  • @
    @anastellangemela8763 years ago Mtetezi kaondoka tutamkumbuka magufuli sana picha ndolinaanza bado picha kamili.
  • @
    @rajabumaringo56413 years ago Wanaichi. Tanzania. Viongozi. Mko. Wapi? Has a. Mtwara. Tunamkumbuka. Anko. Magu.
  • @
    @shabanijuma20853 years ago Wizi mtupu kuvunja soko usiku kuiba mali za watu. Poleni ndugu zetu kama siyo watanzania jamani r. I. P jpm.
  • @
    @devotajoel37303 years ago Sorry hivyo vichwa vya kucheka hapo vimeji bonyeza bahati mbaya naomben radhi.
  • @
    @masanjanyanda97753 years ago Mtihani huo sasa rais usiishie morogoro tu na uwe unafanya maamuzi ya haraka sio usibilie kushauriwa ndio ufanye maamuzi rais ndio kila kitu sasa watu wanalia ww umejifungia dar tu.
  • @
    @rajabumaringo56413 years ago Haya. Mambo. Harimashauri. Wajiona. Mungu. Mtu. Kwa nini? 2025. Sio. Mbari.
  • @
    @ameniameni6173 years ago Nyie ndio mnapenda ccm amtaki upinzani wakati wapinzani ndio watetezi wenu ccm wenu wao bungeni wanadai kuongezewa posho ivo mkomae. 1
  • @
    @yacenharuna3803 years ago Nawasklze kina mama we vp, hadi kuvunjiwa soko hlo yeye pia taarifa anayo ktambo we kakae u2lie, mama mpga dili anachake ktambo mfukoni, acha nikakojoe nilale il nikue.
  • @
    @leticiamwambiji11603 years ago Mmhhh pumzika magufur wanyonge washaaza kulia.
  • @
    @johnkawogo44723 years ago Tutamukumbu a jpm serikali ya sasa nishida.
  • @
    @mussaelisha37333 years ago Mkuu wa wilaya yupo mkuu wa mkowa yupo hatari.
  • @
    @josephmakutano70673 years ago Sababu watawala wengi tz waliingia madarakani kinyamela aukiubabe kiwizi kiukatili ccm hawana huruma kwaraia wake!
  • @
    @kasimually51373 years ago Angalia kanga uliyoiva ina alama yanini, jembe nanyundo kwaiyo ukichagua ccm wewe kubari kuwa mkulima au mfanyakazi wa ujenzi biashara wao sio kipaumbele chao.
  • @
    @hadijahaji97123 years ago Du! Nikisikia malalamiko kama haya nalia namkumbuka john pombe magufuli. Wanasema alikuwa kiongozi dicteta ila alikuwa anatusaidia sisi wanyongewatu wanaopiga madili wengi walikuwa awataki magufuli.
  • @
    @kelvinchidabwa25383 years ago Jpm hulalepema pepon ameni nnchi yako wanao wanateseka.
  • @
    @baghabaghaingwengwe17503 years ago Faili ya elfu 500= wakati biashara mama anauza pipi tu ama watu wanawekwa ndani cku 13 kisha kufanya biashara dogo.